MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI LAMALIZIKA LEO TAREHE 22 FEBRUARI 2013

Thursday, February 28, 2013 | comments


Mh.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi(katikati) akisoma Sala ya Halmashauri kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Baraza la madiwani uliofanyika tarehe 21 na 22 Februari 2013.

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi wakiwa katika Sala ya pamoja ya Halmashauri kabla ya kufungua Mkutano wa Kawaida wa Baraza za madiwani.

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. MISSENYI DISTRICT COUNCIL - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger