skip to main |
skip to sidebar
HomeHalmashauri ya Wilaya
Halmashauri ya Wilaya
Mh.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi(katikati) akisoma
Sala ya Halmashauri kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Baraza la madiwani
uliofanyika tarehe 21 na 22 Februari 2013.
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi wakiwa katika
Sala ya pamoja ya Halmashauri kabla ya kufungua Mkutano wa Kawaida wa
Baraza za madiwani.
Post a Comment